Habari za jioni Wanamara wote... Napenda kuwataarifu kuwa leo jioni tunakiwasha dhidi ya Mbeya city katika uwanja wa karume mjini musoma mkoani Mara Tanzania.
    Hii ni mechi muhimu sana kwetu ili tujiweke katika nafasi nzuri zaidi. Wanamara wote wanaokaa mkoa wa Mara tunaomba mje kutupa sapoti.
   Hii ni timu pekee ligi Kuu Tanzania inayowakilisha mkoa wa Mara. Hivyo tushirikiane pamoja.

Comments