Ni siku nyingine tena napenda kuwa omba WanaBUM wote mje mpirani majira ya saa kumi jioni uwanja wa karume mjini musoma mjaze uwanja mpaka isipatikane sehemu hata ya kuweka sindano. Tuonyeshe ulimwengu ni namna gani tumeweza kufanya haya yote kwa muda mfupi Kwan timu yetu pendwa na pekee inayowakilisha mkoa wa Mara Tanzania VPL haina muda mrefu kwenye ligi. Mbeya city Hatoki kwa karume Leo.
Posts
Showing posts from February, 2020
- Get link
- X
- Other Apps
Habari za jioni Wanamara wote... Napenda kuwataarifu kuwa leo jioni tunakiwasha dhidi ya Mbeya city katika uwanja wa karume mjini musoma mkoani Mara Tanzania. Hii ni mechi muhimu sana kwetu ili tujiweke katika nafasi nzuri zaidi. Wanamara wote wanaokaa mkoa wa Mara tunaomba mje kutupa sapoti. Hii ni timu pekee ligi Kuu Tanzania inayowakilisha mkoa wa Mara. Hivyo tushirikiane pamoja.