Ni siku nyingine tena napenda kuwa omba WanaBUM wote mje mpirani majira ya saa kumi jioni uwanja wa karume mjini musoma mjaze uwanja mpaka isipatikane sehemu hata ya kuweka sindano.

 Tuonyeshe ulimwengu ni namna gani tumeweza kufanya haya yote kwa muda mfupi Kwan timu yetu pendwa na pekee inayowakilisha mkoa wa Mara Tanzania VPL haina muda mrefu kwenye ligi.
   Mbeya city Hatoki kwa karume Leo.

Comments